Header Ads

Mtoto Mwenye mwezi mmoja ang'olewa Meno Saba Huko India

Madaktari kwenye hospitali moja iliyo jimbo la magharibi mwa Inida ya Gujarat wamefanikiwa kutoa meno saba kutoka kwa mtoto wa mwezi mmoja.
The two-part surgery
"Kwa sasa mtoto yuko sawa," daktari ambaye alifanya upasuaji huo Meet Ramatri alisema.
Alisema kuwa upasuiji huo ulifanya kwa njia mbili. Kwanza walitoa meno manne, na baadaye matatu.
Meno ya mtoto huyo yaligundulwia siku chache baada ya kuzaliwa.
Wazazi wake walimpeleka kwa daktari baada ya kupata shida  anaponyonyesha
The one-month-old infant

Madaktai watoa meno 7 kutoka kwa mtoto wa mwezi mmoja India
Baada ya kumfanyia uchunguzi dakari aligundua nyama nyeupe na kumtuma kwa daktari Ramatri.
"Wakati nilimfanyia uchunguzi aligundua meno saba," Dr Ramatri aliambia BBC.
Kisha alilazimika kutoa meno hayo kwa njia ya upasuajia.
"Sasa mtoto huyo anaweza kunyonya," dakatari alisema, lakini aliongeza kuwa ni vigumu kujua ikiwa upasuaji huo utatatiza ukuaji wa meno ya mtoto huyo siku za usoni

SOURCE:  BBC SWAHILI


No comments

Powered by Blogger.