Header Ads

Dani Alves - Sikuwahi Kujua Kama Jiji La Manchester Lina Timu Nyingine Zaidi Ya Manchester United

Dani Alves Ambaye Amekuwa Akihusishwa Kujiunga Na Timu Ya Manchester City Inayonolewa Na Pep Guardiola Kwa Sasa Aliwahi Kukiri Kuwa Hakuwahi Kujua Uwepo Wa Timu Hiyo Kabla Ya Mwaka 2009
'I didn't realise Manchester had two teams' - Man City target Alves may live to regret comments


Kuelekea Pambano La Ligi Ya Mabingwa Kati Ya Barcelona Na Manchester City Mwaka 2014 Kipindi Hicho Akiwa Mchezaji Wa Timu Ya  Barcelona Alikaririwa Akisema Kuwa "Sikuwahi Kujua Kama Jiji La Manchester Lina Timu Mbili Kabla Ya Miaka Mitano Iliyopita"

"Kiukweli Timu Ya Manchester United Ni Moja Kati Ya Timu Maarufu Na Zenye Mafanikio Barani Ulaya Na Nilijua Ndio Pekee Kwenye Jili La Manchester "
Dani Alves Barcelona Manchester City 2014

Lakini Baada Ya Manchester City Kupata Wamiliki Wapya Na Kuanza Kununua Wachezaji Bora Kila Mmoja Anawajua Lakini Lazima Niwe Mkweli Kabla Ya Hapo Sikuwa Najua Lolote Kuhusu Uwepo Wao

Nadhani ndio Uhalisia Wa Mpira Wa Kisasa Huitaji Miaka 10 ama 20 Kujijenga, Unahitaji Miaka Miwili Ama Mitatu Tu Ukiwa Na Pesa.

Haijalishi Kama Kama Mimi Ama Yeyote Anakubaliana Na Hili Ili Ndio Uhalisia Wa Siku Hizi" - Dani Alves

Hili Limekuja Baada Ya Beki Huyo Wa Kibrazili Anayekipiga Kwenye Klabu Ya Juventus Kwa Sasa Kuhusishwa Kuhamia kwenye Timu Hiyo Ambayo Alikuwa Haijui Kabla Ya 2009

Pep Guardiola Anatumaini Kuungana Na Mchezaji Huyo Kwa Mara Nyingine Tena Nchini Uingereza Baada Ya Kufanya Kazi Pamoja Kwa Mafanikio Makubwa Walipokuwa wote Kwenye Timu Ya Barcelona.

SOURCE - GOAL.COM

No comments

Powered by Blogger.