Header Ads

Sikia hii ya rick ross kwa diamond

C.E.O wa music and recording label Maybach music group MMG rick ross the boss leo katika ukurasa wake wa instagram kampost moja kati ya A-list wa muziki wa bongo fleva nchini Tanzania Naseeb Abdul alimaarufu kama Diamond platnumz.


Post hiyo imetokana na ubalozi alioupata Diamond kutoka kwa kampuni ya mvinyo Belaire ambayo tick ross pia anaubalozi wa kinywaj hicho.


Ikumbukwe pia kuwa juz rick ross alimpost pia mwanadada kutoka kenya,Huddah Manroe pia kama matangazo ya kinywaj hicho.


Wasanii wengine wenye ubalozi wa Belaire Afrika mashariki ni pamoja na khaligraph jones wa kenya na rosa ree kutoka Tanzania.

No comments

Powered by Blogger.