MAN UNITED YAANZA KWA KASI MSIMU MPYA WA LIGI KUU YA UINGEREZA
Straika wa Romelu Lukaku akishangilia baada ya kutupia
dhidi ya West Ham United katika Ligi Kuu ya England ‘Premier League’.
Pogba na Lukaku wakipongezana.
Paul Pogba akishangilia mbele ya Mashabiki Wa Man United Baada Ya Kufunga Goli La 4 Dhidi Ya West Ham
Joe Hart VS Juan Mata
Straika wa Romelu Lukaku ameanza vizuri maisha ya Manchester
United baada ya kuiongoza timu yake hiyo kupata ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya
West Ham United katika Ligi Kuu ya England ‘Premier League’.
Lulaku ambaye alikuwa akicheza mchezo wake wa kwanza wa
Premier League akiwa na kikosi chake hicho kipya, alionyesha uwezo mzuri na
kutupia mabao mawili hivyo kuwa na mwanzo mzuri.
Lukaku alifunga mabao yake katika dakika ya 33 na 52 wakati
bao la tatu liliwekwa wavuni na Anthony Martial katika dakika ya 87 baada ya
kuingia akitokea benchi pamoja na Paul Pogba dakika ya 89 ambapio alipiga shuti
kali lilijaa wavuni kutoka nje ya eneo la 18.
KIKOSI CHA MANCHESTER UNTIED: De Gea, Valencia, Blind, Jones, Bailly,
Matic, Pogba, Mkhitaryan (Lingard 88), Mata (Fellaini 76), Rashford (Martial
80), Lukaku.
SUBS NOT USED: Romero, Darmian, Smalling, Herrera.
GOALS: Lukaku 33, 53; Martial 87; Pogba 90
BOOKINGS: Bailly, Valencia
KIKOSI CHA WEST HAM: Hart; Zabaleta, Reid, Ogbonna, Masuaku (Cresswell
81); Noble (Rice 61), Obiang; Fernandes (Sakho 60), Arnautovic, Ayew;
Hernandez.
SUBS NOT USED: Bryam, Collins, Fonte, Adrian.
BOOKINGS: Zabaleta, Ogbonna
No comments