Header Ads

THUTO ya cassper nyovest ndo album bora afrika



Album ya msanii wa hiphop Refiloe Phoolo ama Cassper Nyovest kama anavyofahamika na wengi, imesemekana ndo album inayoongoza kwa mauzo barani Afrika kwa mwaka 2017
Kwa mujibu wa post ya African Facts katika mtandao wa twitter inaonesha thuto ndo album inayoongoza kwa mauzo  Afrika.

Album hii tayari inamauzo ya platnum na kwa mujibu wa cassper nyovest mwenyewe anasema album hyo ilifikia mauzo ya gold ndani ya siku moja baada ya kuzinduliwa kwake

Album hiyo ilipewa jina THUTO kwa heshima ya dada yake cassper, Thuto Phoolo kutokana na kufanana kwa tarehe ya kuzaliwa ya dada yake huyo na siku ya kuzinduliwa kwa Album hiyo, may 5 mwaka huu 2017

No comments

Powered by Blogger.