Header Ads

Tegemea kolabo kati ya wizkid na sauti sol




Sauti sol ni group bora kabisa la muziki Afrika ya mashariki huku wizkid akionekana kuwa ndo msanii anae ng'ara zaidi Afrika na nje ya mipaka ya Afrika .
Sauti sol na wiz kid wanatarajiwa kuachia ngoma yao ambayo waneshamaliza kuirekodi.
Kwa nyakati tofauti sauti sol na wizkid  wamekuwa wakipost instagram na twitter maendeleo ya wimbo wao huo
Wizkid anafahamika kwa kuwa na kolabo na wasanii wengi wa ndani na nje ya Afrika. Ikiwamo Chris Brown, Drake, Ty dollar sign na French Montana
Kwa upande mwingine  sauti sol wanakolabo nyingi nao pia akiwamo Ali kiba, C4 pedro na wengine wengi
Kwa maoni yangu ngoma hii itakuwa kali sana kutokana na kazi nzuri ambazo wasanii hawa wamekuwa wakifanya.

No comments

Powered by Blogger.