Header Ads

MWANAMKE MWINGINE AJITOKEZA NA KUDAI ALIAMBUKIZWA NA USHER GONJWA LA ZINAA

Baada ya taarifa kusambaa kuwa Usher alitoa dola milioni moja ili kumaliza kesi ya kumwambukiza Ex wake gonjwa la zinaa mwaka 2012, mwanamke mwingine naye kaibuka na kusema alipata gonjwa hilo kutoka kwa staa huyu.

Kwa mujibu wa TMZ , mwanamke mmoja anasema alikuwa na Usher kwenye chumba cha hotel mjini Atlanta mnamo April 16 na walitumia kinga kwenye tendo lao la ngono ila walivyokutana kwa mara ya pili mjini New Orleans Usher hakutumia kinga na kwamba kwa sasa bidada huyu anahisi anaumwa.
Mwanamke huyu amefungua kesi dhidi ya Usher kwa akiamini afya yake iliwekwa hatarini na sasa anataka dola milioni 10 kama fidia

No comments

Powered by Blogger.