Header Ads

Mpya kutoka kwa kendrick lamar na album ya damn!

Album ya nne ya mshindi wa tuzo ya grammy, kendrick lamar ineendelea kupata mafanikio makubwa .
Album hiyo imetangazwa kufikisha mauzo ya double platnum na Recording Industry Association of America,  RIAA tarehe 13 mwezi huu wa saba.

Ikumbukwe album hii ilifikia mauzo ya platnum (single platnum) mwezi may 10 mwaka huu ikiwa ni wiki chache baada ya kutoka kwake na mpaka kufikia tarehe 1o mwezi july ilitangazwa kuwa ndo album yenye mauzo makubwa kwa mwaka 2017.

No comments

Powered by Blogger.