Header Ads

Hii ndo biashara mpya ya Diva wa Ala za Roho

Mtangazaji maarufu mwenye  sauti ya kipekee wa kipindi cha ala za roho cha  Clouds fm, Diva the Bawse ameamua kuingia katika biashara ya vipodozi mtandaoni kama mastaa wa kubwa wa nje kama kim kardashian.
Diva amesema ameamua kuingia katika biashara kwani alikuwa na ndoto ya kufanya hivyo kwa muda mrefu. .
.
. “Nimeamua kufanya biashara ya vipodozi kwa njia ya mtandao, hii ni ndoto yangu ya muda mrefu sana nimevutiwa zaidi ufanya biashara hiyo kistaa zaidi kama wanavyofanya mastaa kutoka nje, unajua ukifanya biashra kwa njia hiyo unaingiza hela zaidi,” alisema

No comments

Powered by Blogger.