Header Ads

Justine bieber kaamua kuwa mchungaji


Msanii wa pop kuyoka nchini canada Justine Bieber kaamua kuahirisha tour yake ya dunia nzima PURPOSE TOUR Na kumrudia mungu

Baada ya kuizunguka dunia kwa miezi 18 na kupiga show 154, Mwimbaji Justin Bieber ametangaza rasmi kuahirisha Ziara yake ya PURPOSE TOUR kwa sababu aliyoitaja kuwa anahitaji muda wa kupumzika na kumrudia Kristo pia.

Ziara hiyo ilibakiza Matamasha 14 imalizike, ikiwemo miji ya Hong Kong na Singapore.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka mtandao The Sun, Mwandishi mmoja aliye fahamika kwa jina la  Richard Wilkins alikaririwa akisema inawezekana pia  Bieber akaanzisha Kanisa lake,

“I am led to believe that the real reason he has come off the road is because he wants to reconnect with his faith and he may be even planning to start his own church,” Alisema mwandishi huyo.

No comments

Powered by Blogger.