Header Ads

Wizkid kanaswa na Huddah monroe

Maanii wa muziki kutoka Nijeria wizkid amenasa kwenye penzi la huddah manroe (huddah the bosslady).
Huddah ambae alitangaza kumpenda sana msanii wizkid na kutaka hata kuwa mke wake. Amefanikiwa kumkamata msanii huyo.


Wakati wa show aliyoenda kufanya wizkid nchini kenya. Huddah monroe alifanikiwa kujisogeza na kupata wakati na msanii huyo hakuna anaejua nini kiliendelea lakini kwa mujibu wa snapchat huddah aliandika haya
Everything was a mess last night! But i had fun.Great laughing out loud with Daddy yo! Gang! Gang! foevaa!.
 Wizkid ambaye kwa sasa ameachia mixtape yake Sounds from the other side ‘SFTOS’ aliweza kuangusha bonge la show licha ya kuwa na mvua kubwa ndipo walipokutana wawili hao.

No comments

Powered by Blogger.