Header Ads

Messi Akubali Kuongeza Mkataba Barca Mpaka 2021

Mshambuliaji nyota wa klabu ya Barcelona Lionel Messi amekubali kutia saini mkataba mpya ambao utamuweka katika klabu hiyo hadi 2021.
Image result for messi
Messi, 30, alijiunga na klabu ya Barca akiwa na miaka 13
Mchezaji huyo anatarajiwa kutia saini mkataba huo atakaporejea kushiriki mazoezi.
Messi alifunga ndoa mwishoni mwa wiki Iliyopita mjini Rosario, Argentina.
Image result for messi wedding

No comments

Powered by Blogger.