Header Ads

Emanuel Mbasha kamtolea uvivu ex wake, madam flora

Mbasha ambae hapo mwanzo alkuwa mume wa mwanamziki wa muziki wa injili madam flora (ama flora mbasha kama alivokuwa akifahamika zamani) ameamdika katika post yake ambayo inaonesha ameyokwa na mapovu baada ya siku kadhaa zilizo pita kuibuka fununu kuwa mke wake wa zamani alifanya mahojiano na kituo kimoja cha redio na kusema Mbasha hakuwa vizuri kitandani na alikuwa mvivu na ndo maana wakatalikiana

“Sipendi ujinga kabisa kwani hamuwezi kuuza hicho kidaftari chenu mpaka mtafute kiki kwangu?, acheni hizo mnaniingiza kwenye upumbavu wenu ili mkiuze hicho kidaftari chenu, Mbona wengine wanauza vyao kwa utaratibu mzuri, sipendi kabisa mie naingiaje kwenye hizo ishu za huyo mwanamke miaka zaidi ya 3 siko nae, na ni mke wa mtu na wewe embu tulia na mmeo huko tena ukome kunitajataja.
Huoni hata haya eti unakiita kidaftari jina langu si uite la mumeo huyo, kunitajataja tu, taja jina la huyo bwana ako sijui nani vile! asinihusishe, usinihusishe Mnikome mbona mie siwafatili na bwana ako kwa lolote lile, kila mtu apambane na hali yake, pambana na hali yako,” alisema Mbasha.

No comments

Powered by Blogger.