Header Ads

Je wajua?

Karibia ya watu milioni 35 nchini China bado wanaishi mapangoni. Hii ni idadi kubwa sana ikifanana na idadi ya watu ya mataifa mengi.
China na India ndizo nchi zenye idadi kubwa zaidi ya watu duniani, idadi ya watu wa mataifa hayo mawili inakaribia kuwa sawa na idadi ya watu wa bara zima la Afrika

No comments

Powered by Blogger.