Header Ads

RONALDO APATA WATOTO MAPACHA

Licha ya kuonekana Mwenye furaha akiambatana muda wote mazoezin au sehem mbali mbali kama vile kwenye mechi, Furaha Ya Cristiano Jr Inatarajiwa Kuongezeka Mara Dufu Mara Baada Ya Taarifa Kusambaa Kwamba Cristiano Ronaldo Amepata Watoto Mapacha Kimeripoti Kituo Kimoja cha TV Huko Kwao Ureno

Kwa Mujibu Wa Taarifa Hizo  zilizozagaa hivi punde ni kuwa Dogo huyo Mwenye umri wa miaka 6 anauaga upweke baada ya kupata ndugu zake wawili Eva na Mateo ambao ni watoto wa Cristiano Ronaldo.

Inaaminika mtindo wa Cristiano Ronaldo kuwapa mimba wadada na kuchukua watoto na kutoweka wazi wazazi halisi inafanya taarifa hizi kuwa siri, huku kukiwa na taarifa kuwa Pengine mwanamitindo Georgina Ambaye ni mpenzi wa Cristiano Ronaldo alikuwa Mjamzito Mara Baada Ya Picha Moja Kuzagaa Mtandaoni Akiwa Ameshikwa Tumbo Na Ronaldo

Kama hizo taarifa zitathibitishwa utakua ni mwendelezo wa mwaka bora kabisa wa mwanasoka huyo.
Ikiwa tayari kashaweka kwapani Ubingwa wa La liga na Champions League

Ronaldo anatarajiwa kutoweka hadharani Mwanamke aliyemzalia mapacha ikiwa ni kama vile alivyofanya mzazi wa Cristiano.

No comments

Powered by Blogger.