Header Ads

Beyonce Na Jay Z Wapata Mapacha

Familia ya Beyonce na Jay Z imezidi kuongezeka baada ya kuwakaribisha watoto wao mapacha ambao wanaungana na Blue Ivy mwenye miaka mitano.
Chanzo kimoja kimeliambia jarida la The People, kuwa familia hiyo ya Carter inafuraha kubwa kwa sasa kutokana na tukio hilo na wameanza kutoa taarifa hizo kwa watu wao wa karibu tu.
“Bey and Jay are thrilled and have started sharing the news with their family and closest friends,” kimesema chanzo hicho cha Habari.

Mtandao Wa usmagazine.com umeripoti jinsia za mapacha kwamba mmoja ni wa kike na mwingine ni wa kiume kwa mujibu wa vyanzo mbali mbali vya habari vilivyo toa habari kwenye mtandao huo

Ijapokuwa hakuna taarifa rasmi juu ya Jinsia za watoto hao wapya kwenye familia ya Beyonce Na Jigga

Mapema mwezi February mwaka huu, Queen Bey kupitia mtandao wa Instagram alithibitisha kuwa na ujauzito huo kwa kuandika, “We would like to share our love and happiness. We have been blessed two times over. We are incredibly grateful that our family will be growing by two, and we thank you for your well wishes. – The Carter



No comments

Powered by Blogger.