Header Ads

50 Cent aiponda Movie ya Tupac ‘All Eyez on Me’, asema haijatendewa haki kabisa


Hatimaye Movie ambayo ilikuwa inasubiriwa kwa hamu na mashabiki wengi sana Duniani kote ya ‘All Ayez On Me’ inayoelezea maisha ya rapper Tupac ikiigizwa na Demetrius Shipp Jr.imeanza kuoneshwa Juzi  June 16, 2017 Ambayo ni siku ya kukumbuka kuzaliwa kwake Mkongwe Huyo Wa Hip Hop Kutoka Marekani.
Gumzo limeibuka hata kabla ya movie hiyo haijasambaa zaidi Duniani, tayari imekutana na ukosoaji mkubwa ambapo rapper 50 Cent ameshatoa maoni yake kupitia account yake ya Instagram akisema haina ubora tofauti na alivyokuwa mwenyewe Tupac.
“Man I watched the 2 PAC film, that was some bullshit. Catch that shit on a fire stick 👎trust me. LOL SMH TRASH” – 50 Cent.


No comments

Powered by Blogger.