Header Ads

Album Mpya Ya Jay Z 4:44 Yaingia Rasmi Sokoni Leo

Image result for jay z
Album mpya  ya rapper Na Mmiliki wa Roc Nation Jay Z imeanza kupatikana leo ikiwa zimepita siku kadhaa tangu alipoutambulisha ulimwengu kuhusu ujio wa album yake hiyo. Hii Ni Albam ya 13 inayokwenda Kwa Jina La, 4:44.
Inadaiwa kuwa kati ya ngoma 10 ambazo zinapatikana katika albamu hiyo zimetayarishwa na producer No I.D.
Albamu hiyo imewakutanisha wasanii kama Beyoncé, Frank Ocean, Damian Marley, Kim Burrell, The-Dream na inanyimbo kama vile ‘Bam’, ‘4:44’, ‘Marcy Me’, ‘Smile’, ‘Legacy’ na nyingine.
Kwa sasa albamu hiyo imeanza kuipatikana kwenye mtandao wa Tidal.

No comments

Powered by Blogger.