Header Ads

MOURINHO KUWAPUMZISHA WACHEZAJI WAKE DHIDI YA ARSENAL

Mkufunzi wa klabu ya Manchester United Jose Mourinho anasema kuwa atawapumzisha
wachezaji wake katika mechi ya siku ya Jumapili dhidi ya Arsenal.

Image result for mourinho
Ushindi mwembamba wa 1-0 dhidi ya klabu ya Celta Vigo Ya Hispania siku ya Alhamisi ulikuwa wa
10 tangu mwezi Aprili. Huku kikosi hicho cha Mourinho kikiwa katika nafasi ya tano katika msimamo wa ligi ya Uingereza,

Ligi ya kombe la Europa inaweza kuwapatia fursa ya kushiriki katika kombe la vilabu bingwa Ulaya
msimu ujao.

Mourinho Alikaririwa Akisema Kuwa  ''Wachezaji ambao wameshiriki katika mechi nyingi hatawachezeshwa wikendi''

Mpira wa dhabu wa Marcus Rashford uliipatia Manchester United ushindi katika awamu ya kwanza ya hatua ya Robo Fainali Ya Kombe La Ligi Ya EUROPA nchini Hispania huku awamu ya pili ikitarajiwa Alhamisi ijayo katika uwanja wa Old Trafford.

Image result for rashford vs celta vigo

No comments

Powered by Blogger.