Header Ads

MARCO ASENSIO AKIRI RONALDO NI TISHIO


Licha  ya uwezo wake wa kustaajabisha uwanjani, kinda la kutumaini katika kikosi cha Zinedine Zidane, Marco Asensio amekiri kufurahishwa na uwezo binafsi wa mchezaji bora wa Dunia, Cristiano Ronaldo,

"Cristiano, anazidi matarajio tunayomuwekea" alisisitiza winga huyo

"tunashukuru mashabiki wanatuendesha katika wakati mgumu kama hivi"

"tumecheza vizuri, matokeo yaliakisi kile tulichokifanya"

"tunafurahia matoko, yametuweka mbele lakini tutakua makini Calderon"
"tulijua ni muhimu kutoruhusu goli nyumbani na zaidi ni hizi goli tatu"

No comments

Powered by Blogger.