Header Ads

Lil wyne atoa mwanga juu ya album ya carter v

Album ya carter v ya msanii wa hiphop wa marekani lil wyne imekuwa topic kubwa kwa mashabiki wa msanii huyo. Album hiyo imezuiliwa kutoka na boss na baba wa hiyari wa wyne  birdman
Akiwa kwenye moja ya show katika tour yake ya kloser 2 u huko dallas,texas marekan lil wyne aliwapa matumaini mashabiki wake upatikanaji wa album hyo
“Thank you, C5 coming soon,” Wayne aliwaambia mashabiki waliokuwa wamekusanyika  kwenye show hyo “Fuck Cash Money. It’s the Roc.” aliongezea lil wyne
Kwa mujibu wa lil wyne mwenyewe, masters za album ya carter v anazo mwenyewe ila hataweza kuzitoa hadi pale mgogoro na cash money utakao malizika
Pia, akiwa kwenye interview mwezi february na billboard birdman alisisitiza kuwa album ya carter v itatoka mwaka huu (2017). "Me and Wayne will be aight," birdman aliwaambia  Billboard  "I'mma make that work. That’s my son and I love him, and we’ll make it happen." Alizungumza birdman katika interview hyo.

No comments

Powered by Blogger.