Header Ads

BURUDANI: DRAKE AFURAHISHWA NA MAUZO YA ALBUM YA "DAMN" YA KENDRICK LAMAR

Inafahamika kuwa Drake na K.dot ni watu ambao wapo kweny bifu la chini chini kwa muda mrefu sasa, lakini mauzo ya album mpya ya Kendrick lamar yameonesha kuto mchukiza drake.
Mauzo ya wiki ya kwanza ya album ya DAMN ya kendrick lamar yamevunja rekodi kwa kuuza unit nyingi(603,000) kushinda 505,000 ya album ya drake "more life" na kufanya kuwa album iliouza sana wiki ya kwanza kwa mwaka 2017
Drake alionesha kufurahishwa na habari hizo alipo komenti  "amaizing to see our music moving!!!" kweny instagram post ya six god fan ambayo ilkuwa ni screen capture ya tweet ya mwandishi wa habari elliot wilson. Tofauti na matarajio ya mashabiki wengi wanaomchukulia drake kama "commercial king of hiphop" walidhani drake kupigwa chini na k.dot kungemfanya akoleze moto kwenye kile kinachosemekana na mashabiki kama ni bifu lakini drake hakuonesha kusumbuliwa na hilo.
Kwa sasa Kendrick lamar anashika namba moja kwenye chati nyingi za muziki duniani, ikiwamo billboard ambapo anashika namba moja kwenye billboard hot 100 (humble) iliokuwa inashikiliwa na ed sheran na wimbo wake wa shape of you, billboard hot 200 (damn) iliokuwa inashikiliwa na ed sheeran na album yake devide na billboard hot rnb and hiphop songs iliokuwa inashilikiwa na thats what i like ya bruno mars

No comments

Powered by Blogger.