Header Ads

BURUDAN: TRAVIS SCOTT AVUNJA REKODI ILIYOKUWA INASHIKILIWA NA JAY Z NA KANYE WEST

Msanii travis scott ambae kwa sasa anatamba na album yake, Rodeo iliyo toka mwaka 2016, kavunja rekodi iliyokuwa inashikiliwa na wasanii jay z na kanye west.
Rekodi aliyovunja travis scott ni kupeform wimbo wake wa
Goosebumps aliomshirikisha mshindi wa tuzo ya grammy kendrick lamar kwa mara 14 mfululizo. Alivunja rekodi hiyo katika moja ya  show yake ya hivi karibuni huko oklahoma nchini marekani
Rekodi hyo ilikuwa inashikiliwa na jay z na kanye west walioivunja mwaka 2012 huko paris ufaransa wakiperfom collabo yao iliofanya vizur sana, niggers in paris

No comments

Powered by Blogger.