Header Ads

BEN POL KAUSHANGAZA ULIMWENGU

Msanii bora kabisa ben pol ametikisa mitandao ya kijamii pale alipoposti picha instagram  ya kava ya wimbo wake mpya.
Picha hyo inamuonesha ben pol akiwa amekaa kwenye kiti mtupu kabisa kama alivozaliwa huku amefungwa mikono nyuma
Picha hiyo imeibua maswali mengi miongoni mwa wafuatiliaji na mashabiki wa mziki wa ben pol huku ukiwaongezea hamu ya kujua ben pol anakuja na nini safar hii cha kustahili hasa kupigiwa picha uchi

No comments

Powered by Blogger.