Header Ads

BURUDAN: PICHA YA KENDRICK LAMAR KUWEKWA KWENYE BUNGE LA SENATE LA NCHINI MAREKANI

Picha ya msanii wa hip hop kendrick lamar itawekwa kwenye moja ya kuta za bunge la senate la nchini marekani
Picha hiyo ambayo imechorwa na mshindi wa kwanza wa shindano la 3rd district congressional art competition, Tiona Cordova itaning'inizwa kwenye jengo hilo kama moja ya zawadi kwa mdhindi huyo.
Scott Tipton congressman wa 3rd District ya Colorado alimpongeza mwanafunzi aliyechora picha hii “ Congrats to @CHS1876 student Tiona Cordova for taking 1st in the 3rd District Congressional Art Competition with ‘Utmost Appreciation ”  aliandika
Picha hito ya k.dot imeandikwa "at most appreciation" na itaning'inizwa kweny bunge hilo kwa mwaka mmoja.

No comments

Powered by Blogger.