Header Ads

Baada Ya Miaka Takribani Sita Kupita, Hatimae Drake Na LudaCris Wamaliza Bifu Lao


Drake ameendelea kukubali yaishe kwa wasanii wenzake ambao alikuwa hapatani nao,
Rapper huyo ambaye ametengeneza rekodi katika tuzo za Muziki Za Billboard usiku wa jana, Drake ameshinda tuzo 13 na kufunika rekodi ya Adele ya kushinda tuzo 12 ndani ya mwaka mmoja kwenye tuzo za billboard. Drake ameonyesha kuwa hana tatizo na Ludacris ambaye alikuwa mtangazaji katika tuzo hizo.
Wakati Drizzy alipotajwa kwenda kuchukua tuzo yake ya ‘Top Billboard 200 Album’ alithibitisha kuwa na matatizo na msanii mwenzake huyo lakini kwa upande wake alishayamaliza na amekuwa shabiki mkubwa wa rapper huyo.
“Ludacris, we haven’t always seen eye to eye, but I’ve always been a big fan of yours and I got a lot of love for you. I want to let you know that face to face, while I’m still here,” amesema Drizzy.
Wawili hao waliingia kwenye bifu hilo kuanzia mwaka 2011 na tangu hapo hawajawahi kukaa pamoja.
Bifu hii ilitokea baada ya msanii Ludacris kuachia mix tape yenye wimbo uendao kwa jina la “Badaboom” kuwabeza wasanii Drake na Big Sean kwamba they are Fake N#@g@s ingawa ni mayoungsta kwenye game. Diss hii ilikuja baada ya Drake kumponda Luda na flow yake kwenye single ya “My chic Bad”
Drizzy, akaja kufunguka, kwenye ukurasa wake wa Twitter na kusema,

“I wish they wuld let us Young Ni@#as live!”

Hii Ndiyo Orodha  Kamili Ya  Washindi Wa Tuzo Za Billboard 2017

Top Artist – Drake
Top New Artist – Zayn
Billboard Chart Achievement Award Presented by Xfinity – Twenty One Pilots
Top Hot 100 Song – The Chainsmokers – “Closer (ft. Halsey)”
Top Billboard 200 Album – Drake – Views
Top Male Artist – Drake
Top Social Artist – BTS
Top Female Artist – Beyoncé
Top Duo/Group – Twenty One Pilots
Top Billboard 200 Artist – Drake
Top Hot 100 Artist – Drake
Top Song Sales Artist – Drake
Top Radio Songs Artist – Twenty One Pilots
Top Streaming Songs Artist – Drake
Top Touring Artist – Beyoncé
Top R&B Artist – Beyoncé
Top R&B Tour – Beyoncé
Top Rap Artist – Drake
Top Rap Tour – Drake
Top Country Artist – Blake Shelton
Top Country Song – Florida Georgia Line – “H.O.L.Y.”
Top Country Tour – Kenny Chesney
Top Rock Artist – Twenty One Pilots
Top Rock Tour – Coldplay
Top Latin Artist – Juan Gabriel
Top Dance/Electronic Artist – The Chainsmokers
Top Christian Artist – Lauren Daigle
Top Gospel Artist – Kirk Franklin
Top Soundtrack/Cast Album – Hamilton: An American Musical
Top R&B Album – Beyoncé – Lemonade
Top Rap Album – Drake – Views
Top Country Album – Chris Stapleton – Traveller
Top Rock Album – Metallica – Hardwired…To Self Destruct
Top Latin Album – Juan Gabriel – Los Duo 2
Top Dance/Electronic Album – Lindsey Stirling – Brave Enough
Top Christian Album – Lauren Daigle – How Can It Be
Top Gospel Album – Tamela Mann – One Way
Top Selling Song – Justin Timberlake – “Can’t Stop The Feeling!”
Top Radio Song – Justin Timberlake – “Can’t Stop The Feeling!”
Top Streaming Song (Audio) – Drake – “One Dance (ft. WizKid & Kyla)”
Top Streaming Song (Video) – Desiigner – “Panda”
Top Collaboration – The Chainsmokers – “Closer (ft. Halsey)”
Top R&B Song – Drake – “One Dance (ft. WizKid & Kyla)”
Top R&B Collaboration – Drake – “One Dance (ft. WizKid & Kyla)”
Top Rap Song – Desiigner – “Panda”
Top Rap Collaboration – Rae Sremmurd – “Black Beatles (ft. Gucci Mane)”
Top Country Collaboration – Kenny Chesney – “Setting The World On Fire (ft. Pink)”
Top Rock Song – Twenty One Pilots – “Heathens”
Top Latin Song – Nicky Jam – “Hasta El Amanecer”
Top Dance/Electronic Song – The Chainsmokers – “Closer (ft. Halsey)”
Top Christian Song – Hillary Scott & The Family – “Thy Will”
Top Gospel Song – Travis Greene – “Made A Way”

No comments

Powered by Blogger.