Header Ads

HABARI NZURI KWA MASHABIKI WA CHRIS BROWN

Msanii nguli wa RnB nchini marekani Christopher Brown ama ChrisBrown kama anavofahamika na wengi katuletea ujio wa documentary yake mpya "welcome to my life".
Chris Brown kathibitisha hilo kupitia mtandao wa kijamii wa instagram, akionesha cover ya documentary hyo ilioambatana na caption inayotaarifu upatikanaj wa documentary hiyo kwa pre order kupitia itunes.
Unaweza kupre-order documentary hiyo kupitia itunes kwanzi leo wakat huo trailer ya documentary hyo ikiwapo kwenye mtandao wa youtube

No comments

Powered by Blogger.