Header Ads

Mwanaume Mmoja Nchini Mexico akimbiwa wanawake kumi kisa ana Maumbile Makubwa

Wakati kukiwa na kasumba ya wanawake kuwacheka kama sio kuwadharau wanaume wenye maumbile madogo hapa Bongo, kwa Roberto Esquivel Cabrera Hali Ni Tofauti, Ni mwanaume pekee duniani anayekadiriwa kuwa na maumbile marefu zaidi  ambaye anahangaika hadi leo kupata mwanamke wa kuishi naye.

Roberto Esquivel Cabrera
Roberto Esquivel Cabrera (54) raia wa Mexico amesema amekuwa akipata tabu kuchagua wanawake kwani amedai kipindi akiwa sekondari miaka 30 iliyopita wanawake wengi walikuwa wanampenda lakini kadri umri ulivyozidi kukua maumbile yake yalikuwa yanaongezeka na kuanza kumnyima raha kwani alianza kukimbiwa na wanawake.
Tokeo la picha la Roberto Esquivel Cabrera
Roberto Esquivel Cabrera

Kwenye mahojiano yake na mtandao wa IFL Science, Cabrera amesema amefanikiwa kupata mtoto mmoja tu kwenye maisha yake na mke wake wa kwanza ambaye naye alimkimbia kutokana na ukubwa wa maumbile yake.
Cabrera amesema mpaka kufikia sasa amefanikiwa kuishi na wanawake 10 lakini wote wamemuacha sababu kubwa ni kukosa furaha ya tendo la ndoa.
Nilipokuwa kijana wa miaka 20+ nilikuwa najiona mwanaume haswa kwani hata sikuwa naogopa wanawake na nilipendwa kweli lakini kadri muda ulivyozidi kwenda nikawa nahisi maumivu kwenye sehemu zangu za siri kitu ambacho kilianza kuniumiza kisaikolojia nikaanza kuwa mpweke kwani kila mwanamke niliyetaka kwenda naye faragha alinikimbia,“amesema Cabrera.
Cabrera amesema ameenda hospitali mara kadhaa akihitaji dawa za kupunguza maumbile yake lakini alichoshauriwa ni kufanyiwa upasuaji mdogo kitu ambacho hakuafikiana nacho.

Kuna watalaamu walikuja baada ya kuandikwa na vyombo vya habari wakitaka kunifanyia upasuaji nilikataa napenda niwe hivi hivi najua, kuachika na wanawake kumi hakunifanyi nikose amani najua Mungu ataniletea mwenzangu mwenye maumbile yanayoendana na yangu bado sikati tamaa,“amefunga Cabrera.
Tokeo la picha la Roberto Esquivel Cabrera
Cabrera amesema hata kama akiona amechelewa kupata mwenza nchini Mexico atasafiri hadi Marekani ambako amesema atapata wanawake wenye maumbile makubwa kwani huwa anawaona kwenye picha chafu (Video za X) na anaamini atapata mke.
Mimi nimeshakuwa mtu maarufu kutokana na maumbile yangu siwezi kuyapunguza nitaenda Marekani kule kuna wanawake wengi wenye maumbile makubwa huwa nawaona mitandaoni, siwezi kupunguza kamwe,“amesema Cabrera kwenye mahojiano yake na gazeti la The Sun la Uingereza.
Picha inayohusiana
Kwa upande mwingine Madaktari wamesema kuwa Cabrera kama angetahiriwa akiwa mdogo huenda asingelipatwa na tatizo hilo kwani linachangiwa na ongezeko la homoni.
Maumbile ya Cabrera yanakadiriwa kuwa na urefu wa nchi 18.9 hadi 20 pale yanapokuwa yamesimama na kumfanya kuwa mwanaume wa kwanza mwenye maumbile marefu zaidi duniani aliyerekodiwa.
Hata hivyo bado Cabrera hajaingizwa kwenye kitabu cha maarufu cha kumbukumbu cha (Guinness World Records).

No comments

Powered by Blogger.