Aubameyang Atua Rasmi Arsenal
Klabu Ya Arsenal imemtangaza rasmi aliyekuwa mshambuliaji wa timu ya Borussia Dortmund ya nchini Ujerumani, Pierre-Emerick Aubameyang
Aubameyang amekuwa mchezaji wa pili kusajiliwa na Arsene Wenger katika dirisha dogo la usajili la mwezi january mara baada ya kumsajili Henrikh Mkhitaryan Kutoka Manchester United
Aubameyang ameweza kuifungia Borussia Dortmund Jumla Ya Magoli 98 Katika Michezo 144 aliyoichezea klabu Hiyo katika ligi kuu Ya Nchini Ujerumani ''Bundesliga''
Klabu hiyo Yenye Maskani yake katika dimba ala Signa Iduna Park iko mbioni kukamilisha usajili wa Mitchi Batshuayi Kutoka Chelsea ambaye tayari kashafanya vipimo vya afya
Aubameyang alifunga mabao 141 katika mechi 213 akiichezea Dortmund tangu 2013, ikiwemo mechi 21 kati ya 24 msimu huu.

Lakini alipigwa marufuku na klabu hiyo ya Ujerumani katika mechi yao dhidi ya Wolfsburg tarehe 14 Januari kwa kukosa mkutano wa timu.
Mshambuliaji huyo pia aliwachwa nje kwa mechi yao dhidi ya Hertha Berlin kwa sababu maafisa wa klabu hiyo walihisi hakuwa na malengo lakini alicheza dakika 90 katika mechi ya Jumapili dhidi ya Freiburg.
Ameichezea Gabon mara 56 akifunga magoli 23
No comments