Header Ads

WAKAZI KADISS NOMINATION ZA AFRIMMA

Baada ya watu wanaogombania tuzo za AFRIMMA kutangazwa , msanii mkali wa hiphop Tanzania, Wakazi amediss nomination hizo za AFRIMMA kuwa haziko fair
Katika post yake ya instagram wakazi aliandika
  "Ila hapa mmezingua mbovu !! @johmakinitz      @khaligraph_jones @nikkimbishi @darassacmg each  had a better year than those East African representatives on this category. I ain't tryna knock nobody's hustle, but let's nominate the muziki (Actual impact) and not the artists (usual suspects) !! Tuzo huwa sizipagi heshima hapo tu, wanapo jaribu kufanya balance ya kuridhisha kila mtu. Mwaka ulikuwa wa Darassa na inabidi awepo kwenye kila category so that he can make history. THIS WAS WRONG. I don't care if it will rub you wrong. The truth is the truth @afrimma " alisema Wakazi
Lkn katika hatua nyingine wakazi pia aliwapongeza washiriki wote waliopata nomination hizo

No comments

Powered by Blogger.