Header Ads

Usher raymond adaiwa kulipa fidia kwa kuambukiza gonjwa la zinaa

Msanii wa RnB Usher Raymond anadaiwa kumlipa fidia mwanamke mmoja  mwaka 2012  baada ya kumuambukiza gonjwa la zinaa ‘Herpes’ miaka kadha iliyopita wakati usher na mke wake wa zamani Tameka Foster wanashungulikia suala la kuvunja  ndoa yao.
Kwa mujibu wa Radar Online, Usher ametoa dola milioni 1.1 kumaliza kesi hiyo iliyomkabili toka mwaka 2012.
Usher Raymond alipata gonjwa hili katikati ya ya mwaka 2009 na 2010, baada ya kuanzisha mahusiano na mbunifu huyo wa mavazi. Kwa mujibu wa mwansmke huyo Usher alimwambia kuwa hana gonjwa hilo, ila baadae mwana dada huyo aliugua gonjwa hilo.

Usher aliomba msamaha na kukiri kuwa na gonjwa hilo, alifunguliw kesi ya madai mjini Los Angeles.
Kwa mujibu wa sheria kwenye mji huo kama una gonjwa la zinaa ni lazima kumfahamisha mpenzi wako, ni jukumu lako kumlinda pia

Inasemekana Usher alitoa dola milioni moja na laki moja kumaliza kesi hii mnamo Dec. 28, 2012.


Lakini katika hatua nyingine mke huyo wa zamani wa Usher (Tameka Foster) katupilia mbali taarifa za kwamba anaugonjwa huo unaoambukizwa na virus na usio na dawa na kusema yeye ni mzima kabisa. Tameka aliandika katika post yake ya instagram iliyokuwa na picha ya meme yenye  kichwa "UNF**CKWITHABLE. 

Tameka aliandika katika caption ya post hiyo...
"Do not come on my page discussing rumors or adult people that have NOTHING to do with me. I have been divorced 8 years… Some issues are not my business… ex husbands, ex friends, bitch-maids, snakes, hoes, characters, etc. Not my circus, not my clowns … I'm good and my health (Everywhere is great ), well my right knee hurts and I need reading glasses but otherwise I'm awesome and enjoying the sun. Miss me with other grown folks crazy gossip.. Not my business at all. I'm living my bestest life. Always. Miss me with the bullshit. Thank you." Aliandika  Tameka .

Nini ukweli juu ya hili tutazid kukuletea taarifa zaidi.

No comments

Powered by Blogger.