Header Ads

THE BEEF IS STILL ON! Wakazi Bado Anamsakama Godzillah

Ile beef iliyokuwa  inatrend wiki kadhaa zilizopita kati ya Godzilla ama King zilla na Wakazi bado haijaisha
Katika posti yake ya leo asubuhi Wakazi, kaposti cover ya diss track mpya aliyo ipa jina la zillah rapper ama Utundu huku ikisemekana ni cover ya ngoma ya king wa kiki Tanzania Hamorapper, Nundu
Katika posti hiyo imesindikizwa na caption ikiwa ni mistari (lyrics) ya ngoma hiyo.
Diss track hiyo inatarajiwa kutoka wiki ijayo sambamba na ngoma nyingine ya wakazi. Yaani ataachia ngoma mbili kwa wakati mmoja
Nini maoni yako?

No comments

Powered by Blogger.