Header Ads

Tegemea haya kutoka kwa Ben pol Roma na Stamina



Msanii anaetamba na kibao chake cha tatu, Benard Paulo alimaarufu kama Ben Pol kafunguka juu ya ujio wa ngoma yake aliyo washirikisha wababe wa muziki wa hiphop Tanzania, Roma na Stamina.

Akifanya interview na kituo cha tv cha East Africa Tv (EATV), Ben pol alifunguka kuwa amesha record wimbo wake katika studio ya AM record chini ya producer Manecky huku akiwashirikisha Roma na Stamina.
"nilikuwa na (Studio Session) na msanii Roma Mkatoliki, Stamina na Manecky, hicho kitu kilichofanyika hapo ni hatari sana, yaani ni 'Fire' naomba watu wajiandae tu kwa hilo goma" alisema Ben pol

No comments

Powered by Blogger.