Header Ads

Kama pesa wanayodaiwa acaccia ingekuwa turubai basi ingefunika eneo hili


Kampuni ya madini ya madini ya acaccia inayomiliki migodi ya bulyanhulu na pangea inayodaiwa  na TRA shillingi trillion 425.4 (US $190 billion) kama malimbikizo ya kodi,riba  na faini ya kutokulipa kodi pamoja na udanganyifu.

Kampuni hiyo walipokea taarifa kutoka TRA na wametoa taarifa kwa vyombo vya habari na kuwahatolipa fedha hizo ila watapeleka kesi mahakamani




Lakini kama pesa wanayodaiwa accacia ingekuwa turubai basi ingekufunika eneo kubwa sana la jiji la Dar es salaam, angalia ramani apo chini;




Kama pesa hiyo ingetakiwa kutumika kama pesa ya bajeti basi ingeweza kutumika kwa miaka zaidi ya 17


Katika hatua nyingine mauzo ya hisa za kampuni hiyo yameshuka sana kwa kiwango kikubwa sana katika soko la hisa la nchini uingereza

Swali ni je acaccia watalipa pesa hizo?



No comments

Powered by Blogger.