Header Ads

JE WAJUA?

Mwaka 2016 mwanaume mmoja aliefahamika kwa jina la Najih Al-Badawi, katika msikiti mmoja  huko Balad nchini Iraq, alimkumbatia mtu aliekuwa anataka kulipua msikiti huo kwa kujitoa mhanga.

Kitendo hicho cha kishujaa kilimgharimuAl-Badawi  maisha yake lakini alifanikiwa kuokoa makumi ya watu kwa kitendo hicho

No comments

Powered by Blogger.