Header Ads

Haya ndo mapya kutoka kampuni ya accacia

Kampuni ya  uchimbaji madini accacia ambayo ilihusishwa na usafirishaj wa mchanga wenye madini (makinikia) kiujanja na baadae kugundulika kulikopelekea kusimamishwa kusafirisha mchanga huo kwaajili ya kuchakatwa, wametoa taarifa yao ya miezi sita baada ya katazo la usafirishaj huo.

Accacia wametoa mchanganuo wa mambo yanavyoenda ndani ya kampuni hiyo miezi sita baada ya kuzuiwa kusafirisha mchanga huo.

Acacia imetangaza kuwa imepata hasara ya Tsh 391.9 bilioni katika kipindi cha miezi 6 kutokana na kuzuiwa kusafirisha makinikia nje ya nchi

Hatua gani itafata baada ya hapa tuendelee kusubiri.


No comments

Powered by Blogger.