Header Ads

Kufanya Mapenzi Kunasaidia Kupunguza Uzito Wa Mwili - Witness

Msanii wa Bongo Fleva, Witnes a.k.a Kibonge Mwepesi amesema kufanya mapenzi kunapunguza unene.
Muimbaji huyo wa zamani wa kundi la Wakilisha Ambalo Likuwa Linaundwa Na Yeye Langa Pamoja Na Shaa alizungumza kwenye Kipindi Cha Planet Bongo ya East Africa Radio kuwa kuna vitu vingi ambavyo hupelekea mtu kupungua unene lakini ufanyaji wa mapenzi walau mara tatu kwa wiki kunasaidia.
“Lakini unatakiwa kujua kwa wiki unafanya mapenzi mara ngapi. Ni vema si chini ya mara tatu kwa hiyo kwa mwezi mara 12 lakini ukiweza kuzidisha zaidi ni fresh,” alisema Witness.

Siku Hizi Witness Amepungua Sana Tofauti Na Ilivyokuwa Awali Hii Imemfanya Kuonekana Mrembo Zaidi.

No comments

Powered by Blogger.