Header Ads

Kaligraph Jones Athibitisha Ujio Wa collabo hii

Kwa wale wapenzi wa muziki wa hip hop na wafuatiliaji wa muziki huu mzuri  habari hii njema iwafikie
Msanii nguli wa hip hop raia wa kenya, khaligraph jones kathibitisha ujio wa collabo na msanii bora kabisa, mwenye sauti isiyo ya kufananika  wa miondoko ya R&B, baraka the prince wa Tanzania
Kaligraph kathibitisha hayo kwenye post yake ya instagram aliyoonekana kwenye picha na msanii huyo mzaliwa wa mwanza, ikiwa na hashtag "#somethincooking"

Ikumbukwe khaligraph amekuwa ni moja ya wasanii wanao fanya vizuri kwenye tasnia ya muziki wa hip hop nchini Kenya na Afrika nzima pia.

Ni moja ya wasanii wachache kuyoka kenya ambao bado wanamshabiki nchini kwetu hapa Tanzania
Khaligraph amefanya collabo na wasanii wengine wa Tanzania kama vile, Nikki mbishi, christian bella na Ray vanny. Pia alishawahi kufanya collabo na msanii MI Abaga wa nigeria ngoma kali inayoenda kwa jina la black bill gates iliyomtambulisha vizuri nchini Nigeria

No comments

Powered by Blogger.