Header Ads

AliKiba Kutikisa London Uingereza Leo




Msanii Mkongwe Kutoka Tanzania Ali Saleh Kiba Maarafu Kama AliKiba Anatarajia Kutumbuiza Kwenye Tamasha La “One Africa Music Festival" Ambalo Kwa Mara Ya Kwanza Litafanyika Jijini London Uingereza Leo Hii Tar 13 Mwezi Wa 5, 2017 Hii Imekuja Baada ya Tamasha Hili Kufanyika Marekani Kwa Misimu Miwili Mfululizo Kabla Ya Kutangazwa kufanyika London Uingereza Mapema Mwishoni Mwa Mwaka Jana

Ambapo Litahusisha Wasanii Nguli Kutoka Afrika Wakiwemo Kina Davido, P S,quare, Banky W, na M.I Abaga Kutoka Nigeria, Casper Nyovest Kutoka South Africa na Victoria Kimani Kutoka Kenya Huku Tanzania Ikiwakilishwa Na AliKiba 


AliKiba Alionekana Kufurahia Maisha Ya Jijini London Pamoja Na wasanii Wenzake Akiwemo Peter Wa P Square, M.I Abaga (Aliyemshirikisha Kwenye Aje Remix) Banky W Na Victoria Kimani



Picha Mbali Mbali Za AliKiba Na Wasanii Wengine Tayari Kwa Tamasha Hilo




No comments

Powered by Blogger.