Header Ads

CELINE DION KAPIGA PICHA ZA UCHI KWAAJILI YA JARIDA LA VOGUE

Wengi waliozaliwa miaka ya nyuma kidogo na wale wanaofatilia muziki wa magharibi wakisikia majina ya nyimbo kama "my heart will go on" "that's the way it is" na "power of love" watakuwa wanaelewa nikimtaja msanii Celine Dion
Msanii mkongwe wa pop kutoka nchini Canada Celine Dion mapema wiki hii alifanya photoshoot kwaajili ya jarida la mavazi na mitindo, vogue. Katika moja ya picha kwenye photoshoot hiyo, Celine anaonekana akiwa mtupu kabisa.

Pamoja na mambo mengine lengo hasa la photoshoot hiyo pamoja na mahojiano aliyofanya Dion kwenye jarida hilo ilkuwa ni kuongelea mindindo ya nguo za gharama kubwa ambazo Celine amekuwa anaonekana kavaa

Nimekuwekea baadhi ya picha kutoka kwenye photoshoot hiyo

No comments

Powered by Blogger.