Header Ads

BARAKA DA PRINCE KAWEKA HEADLINE NYINGINE

Kwa mara ya kwanza mwanamuziki wa Bongo fleva, Baraka da prince ameutaarifu umma kuwa hayupo tena chini ya Rockstar4000 label ambayo ilikuwa inasimamia kazi zake.
Kupitia Clouds fm @Barakatheprince_ amesema kuwa "Kuna vitu ukiwa unaviona haviko sawa between wewe na watu ambao unafanya nao kazi lazma uhoji na ukiona kama kampuni au watu unaofanya nao kazi wanakuwa hawajali kile kitu ambacho umataka kukifahamu kuhusu makubaliano yenu ya kazi unakuwa na mashaka kidogo. So ninaweza kusema sipo chini ya rock star kwasababu mimi ndio boss wa muziki wangu halafu mwisho wa siku mimi ndio nafanya kazi kwahiyo kukiwa kuna vitu ghaziko sawa kwa upande wangu mimi ndio ninaweza kutoa kauli ya mwisho so sipo chini ya Rockstar4000"
Akizungumzia kuhusu kutokubaliana na @officialalikiba kuwa boss wake ndani ya RockStar4000 Baraka amesema "Ujue neno boss bro zito sana boss yani ni neno zito sana unavyoniambia mtu ni boss wangu yani how ni boss wangu kivipi ? yani boss kivipi kwangu inabidi nieleweshwe...lakini hiyo sio sababu ya mimi kujitoa Rockstar....kwamba eti kwasababu alikiba ni director wa Rockstar mimi ndio nijitoe hapana! sema kuna vitu ambavyo havipo sawa kati yangu mimi na uongozi wa Rockstar wao kama wao ambao mimi ndio nilisaini nao, unajua mimi sijasaini mkataba na Alikiba mimi nimesaini mkataba na Seven kwahiyo kati yangu mimi na uongozi wa Rockstar ndio kuna havipo sawa kwahiyo ukiona chochote sasa cha baraka ujue kipo  under baraka"

No comments

Powered by Blogger.